Harmonize – Kwa Ngwaru Lyrics

Kwa Ngwaru Lyrics (feat. Diamond Platnumz)

I wish ninge kuwaga na mavumba
Mkwanja manoti, nikuhonge vya thamani
Ama, niwe fundi wa kuigiza ka Kanumba
Masanja Joti, usiwe mbali nami

My darling, I need you love oh
Uwe nami, haki ya Mungu nakupenda
Nobody can show your love oh
Usiwaamini, ukisha wapa wanakwenda

Oh, basi jilegeze
Nikubebe mgongoni (Iyelewi)
Deka nikudekeze
Nikutunze kama mboni (Iyelewi)
Wakija uwapoteze
Jifanye kama huwaoni (Iyelewi)
Kisha uniongeze
Ulivyofunzwa unyangoni (Iyelewi)

Ooh baby
Asa dance nikuone (Kwa ngwaru)
Wa bami jo (Kwa ngwaru)
Ololu Femi (Kwa ngwaru)
Ooh baby
Asa cheza nikuone (Kwa ngwaru)
Wa bami jo (Kwa ngwaru)
Basi cheza na mimi (Kwa ngwaru)

Aagah, moyo wangu wa muarobaini
Mchungu ukiuziwa
Samehe mara sabini huo uzungu sija jaaliwa
Ungependa juu ama chini
Kwenye uvungu uparemiwa
Nikumbatie baridini
Kwenye tundu kama njiwa

Moyo wangu mie wa makuti
Usinijie na kiberiti (Hasa wee!)
Penzi likageuka chuki
Nyumba ikawa kibiti (Hasa wee!)
Nipatie vya kitandani
Nipe mpaka kwenye kiti (Hasa wee!)
Ila asiniingie shetani
Nawe nikaja kukucheati

Oh, basi jilegeze
Nikubebe mgongoni (Iyelewi)
Kitandani nikoleze
Kwa miuno ya kingoni (Iyelewi)
Kisha nibembeleze
Nirudishe utotoni (Iyelewi)
Weka mate niteleze
Kama nyoka pangoni (Iyelewi)

Ooh baby
Asa dance kidogo (Kwa ngwaru)
Oh wabanwe choo (Kwa ngwaru)
Ololu Femi (Kwa ngwaru)
Ooh baby
Asa cheza nikuone (Kwa ngwaru)
Wa bami jo (Kwa ngwaru)
Basi cheza na mimi (Kwa ngwaru)

Aagah, unataka kucheza chura
Na ingali umesimama (Ai inama-inama)
Asa waoneshe (Ai inama-inama)
Unachezaje (Ai inama-inama)
Unataka maji ya kisima
Na mwoga wa kuchutama (Ai inama-inama)
Ebu waoneshe (Ai inama-inama)
Unachotaje (Ai inama-inama)

Unataka kupiga deki
Wima umesimama (Ai inama-inama)
Ebu tuoneshe (Ai inama-inama)
Unapiga je (Ai inama-inama)
Si unataka vya pool table
Sa’ mbona unajibana (Ai inama-inama)
Ebu tuonyeshe (Ai inama-inama)
Unalenga je (Ai inama-inama)

Oya, wanangu wa kigogo (Ai inama)
Nipe za Mose Iyobo (Ai inama)
Vunja-vunja kidogo (Ai inama)
Aah, niongeze mikogo (Aah, inama-inama)