Diamond Platnumz – Oka Lyrics

 

Oka Lyrics by Diamond Platnumz (feat. Mbosso)

 

Ashi ashika ashi
Le general Dangote
Ashi ashika ashi
Kirungi bin shedede
Kananipa Mambo ya pwani Hadi napandisha mazyiii
Dozi kitandani had nazimika ziii
Haniti chibu anakatisha chiii
Ka nyakanga mwali anavyo katika

Jamani Ale Ale Ale (Alele)
Alelele (Alele)
Ooh Ale (Alele)
Alelele (Alele)
Asa oka okaka
Oka okaka
Oka okaka
Oka okaka

Baby ooh
Unifanya Nini
Mi mwana wa mwenzio
Maana kwako sioni umenifunga na sikio
Ukinishika hapa (utamu)
Ukinigusa huku (utamu)
Ukinichumu Mimi (utamu)
Ukinibusubusu jaman
Oka okaka
Oka okaka
Oka okaka
Oka okaka

Kama konokono mwenda pole kwenye mchanga
Nakupa mkono wa kongole baby we mwamba
Hesabu za kukokotoa umenifunza wewe
Waniamisha mikoa bumbuli kwa ukerewe
Ooh mapenzi ni kinywaji soft Barid
Wananuna mwenzao nikifaidi
Ooh malezi amerithi upande wa Bibi
Mwali nyuma Kama mlima itigi

Oka okaka
Oka okaka
Oka okaka
Oka okaka

Usizidishe chumvi ntapata safura
Nimeambiwa jusi unachezaga chura
Asa chura (Anarukaruka)
Chura (anajumpjump)
Ah chura oooh ooh (Anarukaruka)
Jamn chura (Anajumpjump)
Adede adede adede adede adede
Adede adede adede adede Fagilia
Waaah
Eeeh Fagilia
Waaah

Kusemasema kando hayo Mambo ya kinafiki
Kama wayaweza Mambo kuja unioneshe Kati
Chura (Anarukaruka)
Chura (Anajumpjump)
Ooh chura (Anarukaruka)
Chura (Anajumpjump)

Adede adede adede adede adede yiiih
Adede adede adede adede Fagilia
Waaah
Eeh Fagilia
Waaah
Inde inde inde baby inde
Inde inde inde nione inde
Inde inde inde baby inde
Asa inde inde inde nione inde

Huyo mtoto (anabalaa)
Mtoto (Anakusudi)
Muone mtoto (anabalaa)
Mtoto (Anakusudi)
Oooh anasifa (anabalaa)
Sifa za makusudi (Anakusudi)
Mwana anajibiringita (anabalaa)
Kifudi fudi (Anakusudi)