Marioo & Harmonize – Away Lyrics

Away Lyrics

Eeeh yao yao
Konde Boy call me number one
Baresaiii, uuh uuh yeh (sky)
Ah, dakika elfu moja mia nne arubaini
Hunitoki oh
Ah, masaa ishirini na manne
Huondoki tu
Kwenye moyo wangu jenga, sawa
Maana kila unapodunda pu!
Unataja jina lako
Wenye moyo wangu huishi, sawa
Kila napotaka sema su naiona sura yako
You’re my angel
Ooh lalala
You’re my everything, you’re my everything eeh
You’re my sweetie
Tararara
Mi nataka nawe, na wewe milele
Don’t you go away
Sioni kama ntapata zaidi ya wewe
Don’t you go away
Mi nataka nawe, na wewe milele
I know, I know, I know
Uzuri uzuri wako nawapa chefu wenye chuki na hira
Asikamara hisi kuwa na shepu akajaribu mloga nzila
Eti nakesha nakombea ndio kisha najombea
On a series loving there and I promise to never share
My baby boo sasa mbona unishahamu
Kutwa kucha nakuongelea
Oh wewe nakuongelea
And I swear baby sio tu damu
Hata figo ntakutolea
Wewe nakutolea
Mmh, mwenzako ‘ko nyumba nshakuzunguka
Sitaki hata kumbuka machungu
Yale si mapenzi vitungu
Ila baby wewe ulinifuta machungu
Siku ukienda utaniua mende kwa bonge la rungu
Don’t you go away (don’t go, don’t go)
Sioni kama ntapata zaidi ya wewe
Don’t you walk away
Mi nataka niwe na wewe (niwe na wewe)
Don’t you go away(baby, baby, away)
Sioni kama ntapata zaidi ya wewe
Don’t you walk away
Mi nataka niwe na wewe milele (niwe na wewe)
Eeh, eeh uuh yeh eeh