Nviiri The Storyteller – Jealousy Lyrics

 

Jealousy Lyrics by Nviiri The Storyteller (feat. Darassa)

 

Staki kukuona
staki kukuona na mwingine , kuona na mwingine x2
Oh Jealous
I get so jealous
Anybody tries to talk to you , trying to dance with you
Oh Jealous
Do you get jealous, when the ladies scream out my name I wanna know before it shows
That is a human nature , I’m not the type to judge Ikifanyika I’m so sorry ,don’t act upon me girl That is a human nature, I’m not the type to judge Ikifanyika I’m so sorry but lately
Staki kukuona
staki kukuona na mwingine , kuona na mwingine x2 Oh Jealous x4

Eh, nikwambie tu ukweli ukiwa kitonga
Kila mpita njia atakuja kugonga
Najua huko Dm kama wanakuzonga
Kwa gear za kubonga na gear za kuomba
Sukari yangu watu wanataka kuonja
Biria chonga mzigo wako watasomba
Na unga unga dotti fit na connect
Ukiweka post napitia comment
Sio free market hii kitu private
Wasingi wasijiachie kama consent
Wasema ndege wako ukiwa ndani
Akiwa barabarani hujui anaruka na nani
Sometimes mi nakuwa niko vitani
Wongo zako viwanjani na marafika company Na ukiendanga kwa fundi cherehani
Vipimo mi jamani yaani yaani
Staki kukuona
staki kukuona na mwingine , kuona na mwingine Staki kukuona
Ukichekeshwa na mwingine cheka na mwingine Staki kukuona
staki kukuona na mwingine , kuona na mwingine Staki kukuona
Ukidensi na mwingine , densi na mwingine
Oh Jealous x4