Jux – As Long as You Know Lyrics

 

As Long as You Know Lyrics by Jux

 

Heiyee eeeh

Hauna furaha,
Haifichi sura yako.
Najua una mpenzi,
Unampenda ila moyo wako haupo hapo.
Unapata karaa
Unatunza utu wako (Mmm)
Labda unajiuliza kwanini nahitaji namba yako.
(Ilaaa)

Sio lazima nikipiga simu upokee (Aa aa aa aaah)
Sio lazima message zangu majibu yarejee (Aaa aaa aaah aah)
Nasema sio lazima mi nawe tukae tuongee (Ilaaa)
Ukipata muda (Majiii) yakizidi unga nipigie,

Ilimradi unajua (Hayee aa hayeee hayeee)
Ilimradi unajuaaa (Hayee aa hayeee hayeee)
Ilimradi unajua (Hayee aa hayee hayeee)
Ilimradi unajuaa (Hayee aa hayee hayee)

As Long As You Know, eiiiiiii eeeeh,
As long as you know, as long as you know (Aaaaaah)

Nasema joto,
Likizidi unapoza na maji.
Ila changamoto,
Zinapozidi unakosa amani.
Kuna umpweke hujiwezi,
Unachukia na mapenzi.
Kwanini ufe na kitanzi,
Wakati mimi nipo na iko wazi.

Sio lazima nikipiga simu upokee (Aa aa aa aaah)
Sio lazima massage zangu majibu yarejee
(Aaa aaa aaah aah)
Nasema sio lazima mi nawe tukae tuongee ilaa (no no noo)
Ukipata muda ( majiii ) yakizidi unga nipigie,

Ilimradi unajua (Hayee aa hayeee hayeee)
Ilimradi unajuaaa (Hayee aa hayeee hayeee)
Ilimradi unajua (Hayee aa hayee hayeee)
Ilimradi unajuaa (Hayee aa hayee hayee)

Mamaa As Long As You Know, Uuuh yeeeeh, Aaa as long as you know, Unajuaaa yeyeee mmmm

Hayee aa hayeee hayeee (Usikose amani)
Hayee aa hayeee hayeee (Mamaa usijitese)
Hayee aa hayee hayeee (I’m here, I’m here , I’m hiiiii)
Hayee aa hayee hayeee (Faraja yako ipo)
Hayee aa hayeee hayeee (Babe usikosee amaniiiii)
Hayee aa hayeee hayeee( aaaaaaaaaaaa aaaaa aaaa)

Performed by: