Elsy Wameyo – Sulwe Lyrics

 

Sulwe Lyrics by Elsy Wameyo

 

Biine sulwe
Urembo hauwezi kupunguza
Na tena hawataweza
Wengi hayawezi kuelewa

Kweli anapendeza
Yote anaweza
Mi ninakupenda
Malaika wa Africa
Ineno sulwe
Oterwa manyalo konyowa
Be inyalo neno sulwe
Nitie kuom gite sulwe

Siaamini ni wewe
Kweli ni we
Nikupee chochote
Unipende

Siaamini ni wewe
Kweli ni we
Nikupee chochote
Unipende

Biine sulwe
Urembo hauwezi kupunguza
Na tena hawataweza
Wengi hayawezi

Biine Sulwe
Urembo hauwezi kupunguza
Tena hawataweza
Wengi hayawezi kuelewa

Ineno sulwe
Oterwa manyalo konyowa
Be inyalo neno sulwe
Nitie kuom gite sulwe

Siaamini ni wewe
Kweli ni we
Nikupe chochote
Unipende

Siaamini ni wewe
Kweli ni we
Nikupe chochote
Unipende

Aye Aye (Aye)
Aye Aye (Aye)
Aye Aye (Mama)
Aye Africa

Aye Aye (Aye)
Aye Aye (Aye)
Aye Aye (Mama)
Aye Africa

Biine sulwe
Urembo hauwezi kupunguza
Na tena hawataweza
Wengi hayawezi kuelewa

Biine sulwe
Urembo hauwezi kupunguza
Tena hawataweza
Wengi hayawezi kuelewa

  Credits & Song Knowledge


  Song Title:
  Performed by:
  Written by:
  Genre:
  Album:
  Release Date: