Abbah Mwagia Ndani Lyrics
Mwagia Ndani Lyrics
Lyrics for “Mwagia Ndani” (feat. Maua Sama & G Nako)
(Sounds by Abbah)
Long time niikuona eeh
Penzi kama tulianza jana
Sometimes ananikera
Nampea kwanza nawaza naye
Mafisi wanajikoki
Wataka penzi langu hawalipati
Ndo kwanza ye ananiposti
Pole wabambe itawakosti
Eeh tate nane tumeshibana
Eeh sa itakuwaje tukitengana
Tukiongozana si unaona
Bibi na bwana si unaona
Tunavyopendana si unaona
Mfupa kwa nyama si unaona
Boy now tell me what to do
Credits
Song title: Mwagia Ndani (feat. Maua Sama & G Nako)
Performed by: Abbah, Maua Sama and G Nako
Written by: Sweetbert Charles Mwinula
Produced by: Abbah
Source: Abbah Music