Abbah Kama Wote Lyrics
Kama Wote Lyrics
Lyrics for “Kama Wote” (feat. Mejja Kunts)
(Sounds by Abbah)
We Diana, nini naelewa
Yote sawa basi tulia
Naumuia mama
Sema kama kweli wanipenda
Mimi niwe na wewe tu
Baby mimi nakupenda
Nile nile nile nawe tu
Sema kama kweli wanipenda
Mimi niwe na wewe tu
Baby mimi nakupenda
Nile nile nile nawe tu
Diana mimi na wewe
Mpaka kwenye kilele
Baby tuishi milele
Aah aah..
Credits
Song title: Kama Wote (feat. Mejja Kunts)
Performed by: Abbah and Mejja Kunts
Written by: Sweetbert Charles Mwinula
Produced by: Abbah
Source: Abbah Music