Abbah ft. Harmonize – Antonia Lyrics

abbah the evolution

Abbah Antonia ft. Harmonize Lyrics

Antonia Lyrics

 

Lyrics for “Antonia” (feat. Harmonize)

 

[Verse 1]
Ningalikua na uwezo, ningekujengea nyumba,
Niakakununulia gari gari la upendo, ama
Nikapulizia kitezo nikurogezee ndumba
Wanga wakupitie mbali unizidishie upendo,
Maana mapenzi ni kidonda hata nikipona
Litabaki kovu sitaki mawazo kukonda kesho
Nikikuona
Nazitoa povu, maana moyo unaona vya ndani
Ambavyo hata macho hayawezi kutazama,
Hivi kweli utakua nami kesho mtondo hadi
Kiama

 

[Chrous]
Would you be my wife aaaaa Antonia,yangu
Ni yako nakupenda saana aaaah Antonia
Would you be my wife aaah Antonia

 

Would you be my wife aaaaa Antonia,yangu
Ni yako nakupenda saana aaaah Antonia
Would you be my wife aaah Antonia

 

[Verse 2]
Wanasemaga hasara roho, pesa makaratasi,
Majumba na magari yao, mengine hata ni ya
Mirathi, baby wasi wasi ndio akili, sio kama
Natabiri
Mi sio wamoja sio wa mbili, hivi ni kweli
Utasubiri, maana mapenzi kidonda hata
Nikipona nitabaki kovu, sitaki mawazo
Kukonda kesho nikikuona nazitoa povu,
Maana moyo unaona vya ndani ambavyo
Hata macho hayawezi kutizama, hivi kweli
Utabaki nami kesho
Mtondo hadi kiama

 

[Chrous]
Would you be my wife aaaaa Antonia,yangu
Ni yako nakupenda saana aaaah Antonia
Would you be my wife aaah Antonia

 

Would you be my wife aaaaa Antonia,yangu
Ni yako nakupenda saana aaaah Antonia
Would you be my wife aaah Antonia

 

Abbaah your sound so crazy, konde boy jeshi.

 

 

 

Credits

Song title: Antonia (feat. Harmonize)

Performed by: Abbah and Harmonize

Written by: Harmonize and Sweetbert Charles Mwinula

Produced by: Abbah

Source: Abbah Music